Ads 468x60px

Featured Posts

Wednesday, August 24, 2016

Wanafunzi wa shule ya msingi Mkomba wilayani Momba mkoani Songwe 

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akisaidia ujenzi wa kituo cha polisi kata ya Chitete

Wakazi wa kata ya Chitete wilayani Momba wakijenga msingi wa kituo cha Polisi katika kata yao Agosti 23, 2016

Picha

Wananchi wa wilaya ya Momba pamoja na maofisa mbalimbali wakianza kuandaa msingi wa kitoa cha polisi cha Momba katika makao makuu ya wilaya Chitete Mkoani Songwe Agosti 23, 2016.

Saturday, January 24, 2015

Kapu la asili la Wanyakyusa la kubebea mahindi pindi wanawake wanavyokwenda msibani kama sehemu ya mchango kwa wafiwa.

 Kimondo ni moja ya vivutio muhimu hapa nchini, kinapatikana Ndolezi wilayani Mbozi mkoani Mbeya

 

MBOZI ONLINE TV

wasiliana nasi kwa Contact +255 755 46 83 05 +255 655 46 83 05 E-mail ekizegas@gmail.com Like page Facebook Mbozi Online Tv
Pia unaweza kutangaza biashara yako kutuma nyimbo au video kupitia blog yetu ya Mbozi Online Tv.
uaweza ktuma kwa E-mail ekizegas@gmail.com or wathsapp kwenda namba +255 755 46 83 05
 
Blogger Templates